Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

TAKWIMU: 40.1% YA WANAFUNZI WALIOHOJIWA WALIFANYIWA UKATILI WA KISAIKOLOJIA 2020

 

                                                                                Picha na Mtanzania.

Kwa mujibu wa Ripoti ya utafiti wa Hali ya Ukatili kwa watoto Mashuleni Tanzania Bara, ya mwaka 2020 iliyotolewa na Haki Elimu Tanzania Mwezi machi 2021, inaonesha kwa kipindi cha miezi sita kabala ya utafiti huo kufanyika Asilimia 40.1% ya wanafunzi waliohojiwa wakiume wakiwa 38.2% na wakike 41.7% walisema walishawahi kufanyiwa ukatili wa kisaikolojia.

Wanafunzi waathirika zaidi waliowahi kufanyiwa ukatili huo ni wasichana ambao ni 49.5% wakitoka katika Shule za Sekondari za wasichana kutoka Serikalini ilhali wavulana wakiwa 44.7% kutoka Shule za Sekondari za wavulana kutoka Serikalini.

Hata hivyo, Jumla ya wanafunzi 322 walifanyiwa ukatili wa kisaikolojia kwenye shule za Msingi za Serikali na Binafsi ilhali jumla ya wanafunzi 410 kutoka shule za Sekondari za Serikali na Binafsi nao walifanyiwa ukatili wa kisaikolojia.

Aidha maeneo ya mijini ndio yaliyoathirika zaidi kufanyia ukatili wa kisaikolojia kuliko vijijini katika upande wote wa Shule za Msingi na Sekondari.

Jedwali hapo chini linafafanua maelezo zaidi kuhusu ukatili wa kisaikolojia kenye Shule za Msingi na Sekondari mwaka 2020.

AINA YA UKATILI

JINSIA

SHULE YA MSINGI

SHULE YA SEKONDARI

JUMLA

WAVULANA

WASICHANA

JUMLA

WAVULANA

WASICHANA

JUMLA

WAVULANA

WASICHANA

 

JUMLA

 

WALIO FANYIWA UKATILI WA KISAIKOLOJIA KWA KIPINDI CHA MIEZI 6 KABLA YA UTAFITI

 

 

 

 

 

 

KISAIKOLOJIA

MJINI

t

104 (38.2%)

193 (37.5%)

102 (47.0%)

147 (51.9%)

249 (49.8%)

191 (41.6%)

251 (45.2%)

442 (43.6%)

VIJIJINI

59 (29.5%)

70 (34.1%)

129 (31.9%)

70 (39.3%)

91 (40.1%)

161 (39.8%)

129 (34.1%)

161 (37.3%)

290 (35.8%)

BINAFISI

37 (30.6%)

46 (33.3%)

83 (32.0%)

46 (40.7%)

75 (41.4%)

121 (41.2%)

83 (35.5%)

121 (37.9%)

204 (36.9%)

SERIKALI

111 (34.6%)

128 (37.8%)

239 (36.2%)

126 (44.7%)

163 (49.5%)

289 (47.3%)

237 (39.3%)

291 (43.6%)

528 (41.5%)

JUMLA

148 (33.5%)

174 (36.5%)

322 (35.0%)

172 (43.5%)

238 (46.7%)

410 (45.3%)

320 (38.2%)

412 (41.7%)

732 (40.1%)

Chanzo: Haki Elimu Tanzania.

Waandisi wa Habari na wachambuzi wa Takwimu hizi ni : -

John Kabambala: kabambalajohn@gmail.com

Hamad Rashid: hamadrashidhd@gmail.com


Post a Comment

0 Comments