Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

TAKWIMU: ENEO LINALOONGOZA KWA UKATILI WA KISAIKOLOJIA KWA WANAFUNZI

 

                                           Picha:bbc

Kwa mujibu wa Ripoti ya utafiti wa Hali ya Ukatili kwa watoto Mashuleni Tanzania Bara, ya mwaka 2020 iliyotolewa na Haki Elimu Tanzania Mwezi machi 2021, Wanafunzi 262 sawa na 81.4% wa Shule za Msingi za Serikali na Binafsi walifanyiwa ukatili wa Kisaikolojia wakati huo wanafunzi 336 sawa na 82.0% wa Shule za Sekondari za Serikali na Binafsi nao walifanyiwa ukatili wa kisaikolojia katika kipindi cha miezi sita kabla ya utafiti kufanyika.

Eneo lililofuatia ni Nyumbani ambapo watoto waliohojiwa kati yao watoto 116 sawa na 15.8 % walifanyiwa ukatili wa kisaikolojia wasichana wakiwa 73 na wavulana wakiwa 43.

Eneo la mwisho ni wakati wa kwenda au kurudi Shule ambapo mahojiano yalifanyika na jumla ya wanafunzi wa Shule za Msingi na Sekondari za Serikali na Binafsi 18 sawa na 2.5 % walisema wamewahi kufanyiwa ukatili wa kisaikolojia wasichana wakiwa 4 na wavulana 14.

Tazama Jedwali linafafanua zaidi.

 

JINSIA

ENEO

SHULE YA MSINGI

SHULE YA SEKONDARI

JUMLA

MJINI

VIJIJINI

BINAFISI

SERIKALI

JUMLA

BINAFISI

SERIKALI

JUMLA

BINAFISI

SERIKALI

JUMLA

WALIPO FANYIWA UKATILI WA KISAIKOLOJIA

NYUMBANI

WAVULANA

28 (14.7%)

15 (11.6%)

8 (21.6%)

15 (13.5%)

23 (15.5%)

6 (13.0%)

14 (11.1%)

20 (11.6%)

14 (16.9%)

29 (12.2%)

43 (13.4%)

WASICHANA

43 (17.1%)

30 (18.6%)

8 (17.4%)

20 (15.6%)

28 (16.1%)

10 (13.3%)

35 (21.5%)

45 (18.9%)

18 (14.9%)

55 (18.9%)

73 (17.7%)

JUMLA

71 (16.1%)

45 (15.5%)

16 (19.3%)

35 (14.6%)

51 (15.8%)

16 (13.2%)

49 (17.0%)

65 (15.9%)

32 (15.7%)

84 (15.9%)

116 (15.8%)

NJIANI WAKATI WA KWENDA/KURUDI SHULENI

WAVULANA

9 (4.7%)

5 (3.9%)

2 (5.4%)

5 (4.5%)

7 (4.7%)

0 (0.0%)

7 (5.6%)

7 (4.1%)

2 (2.4%)

12 (5.1%)

14 (4.4%)

WASICHANA

0 (0.0%)

4 (2.5%)

0 (0.0%)

2 (1.6%)

2 (1.1%)

0 (0.0%)

2 (1.2%)

2 (0.8%)

0 (0.0%)

4 (1.4%)

4 (1.0%)

JUMLA

9 (2.0%)

9 (3.1%)

2 (2.4%)

7 (2.9%)

9 (2.8%)

0 (0.0%)

9 (3.1%)

9 (2.2%)

2 (1.0%)

16 (3.0%)

18 (2.5%)

SHULENI

WAVULANA

154 (80.6%)

109 (84.5%)

27 (73.0%)

91 (82.0%)

118 (79.7%)

40 (87.0%)

105 (83.3%)

145 (84.3%)

67 (80.7%)

196 (82.7%)

263 (82.2%)

WASICHANA

208 (82.9%)

127 (78.9%)

38 (82.6%)

106 (82.8%)

144 (82.8%)

65 (86.7%)

126 (77.3%)

191 (80.3%)

103 (85.1%)

232 (79.7%)

335 (81.3%)

JUMLA

362 (81.9%)

236 (81.4%)

65 (78.3%)

197 (82.4%)

262 (81.4%)

105 (86.8%)

231 (79.9%)

336 (82.0%)

170 (83.3%)

428 (81.1%)

598 (81.7%)

Chanzo: Haki Elimu Tanzania.

Waandisi wa Habari na wachambuzi wa Takwimu hizi ni : -

John Kabambala: kabambalajohn@gmail.com

Hamad Rashid: hamadrashidhd@gmail.com

 

Post a Comment

0 Comments