Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

TAKWIMU: SHULE ZINAONGOZA KWA UKATILI WA KIMWILI KWA WANAFUNZI

 

Ripoti ya utafiti wa Hali ya Ukatili kwa watoto Mashuleni Tanzania Bara, ya mwaka 2020 iliyotolewa na Haki Elimu Tanzania Mwezi machi 2021, inaonesha eneo la Shule linaongoza kwa ukatili wa kimwili kwa wanafunzi ukilinganisha na maeneo mengine ya Nyumbani na njiani wakati wa wanafunzi kwenda au kurudi Shule, ambapo jumla ya wanafunzi 1401 sawa na 89.0% walifanyiwa ukatili wa kimwili shuleni kwenye Shule za Msingi na Sekondari katika kipindi cha miezi sita kabla ya utafiti kufanyika.

Aidha upande wa Ukatili wa kimwili jumla ya wanafunzi 157 sawa na  10.0 % walitendewa nyumbani, Shule za Msingi na Sekondari miezi sita kabla ya utafiti kufanyika.

Hata hivyo utafiki unaonesha wasichana wanaongoza kufanyiwa ukatili wa kimwili kwa shule za msingi na sekondari huku Shule za Serikali zikiongoza zikifuatiwa na Shule Binafsi.

 

JINSIA

ENEO

SHULE YA MSINGI

SHULE YA SEKONDARI

JUMLA

MJINI

VIJIJINI

BINAFISI

SERIKALI

JUMLA

BINAFISI

SERIKALI

JUMLA

BINAFISI

SERIKALI

JUMLA

 

NYUMBANI

WAVULANA

33(3.7%)

20 (3.0%)

9 (4.1%)

23 (4.1%)

32 (4.1%)

6 (2.3%)

15 (2.9%)

21 (2.7%)

15 (3.1%)

38 (3.5%)

53 (3.4%)

WASICHANA

69 (7.7%)

35 (5.2%)

28 (12.7%)

45 (7.9%)

73 (9.3%)

11 (4.1%)

20 (3.8%)

31 (3.9%)

39 (8.0%)

65 (6.0%)

104 (6.6%)

JUMLA

102

(11.4%)

55 (8.1%)

37 (16.8%)

68 (12.0%)

105 (13.3%)

17 (6.4%)

35 (6.7%)

52 (6.6%)

54 (11.1%)

103 (9.5%)

157 (10.0%)

NJIANI WAKATI WA KWENDA/KURUDI SHULENI

WAVULANA

4 (0.4%)

4 (0.6%)

0 (0.0%)

5 (0.9%)

5 (0.6%)

1 (0.4%)

2 (0.4%)

3 (0.4%)

1 (0.2%)

7 (0.6%)

8 (0.5%)

WASICHANA

5 (0.6%)

4 (0.6%)

2 (0.9%)

3 (0.5%)

5 (0.6%)

1 (0.4%)

3 (0.6%)

4 (0.5%)

3 (0.6%)

6 (0.6%)

9 (0.6%)

JUMLA

9 (1.0%)

8 (1.2%)

2 (0.9%)

8 (1.4%)

10 (1.3%)

2 (0.8%)

5 (1.0%)

7 (0.9%)

4 (0.8%)

13 (1.2%)

17 (1.1%)

SHULENI

WAVULANA

365 (40.6%)

268 (39.6%)

91 (41.4%)

227 (40.0%)

318 (40.4%)

94 (35.3%)

221 (42.3%)

315 (40.0%)

185 (38.1%)

448 (41.1%)

633 (40.2%)

WASICHANA

422 (47.0%)

346 (51.1%)

90 (40.9%)

264 (46.6%)

354 (45.0%)

153 (57.5%)

261 (50.0%)

414 (52.5%)

243 (50.0%)

525 (48.2%)

768 (48.8%)

JUMLA

787 (87.6%)

614

(90.7%)

181 (82.3%)

491 (86.6%)

672 (85.4%)

247 (92.9%)

482 (92.3%)

729 (92.5%)

428 (88.1%)

973 (89.3%)

1401 (89.0%)

Chanzo: Haki Elimu Tanzania.

Waandisi wa Habari na wachambuzi wa Takwimu hizi ni : -

John Kabambala: kabambalajohn@gmail.com

Hamad Rashid: hamadrashidhd@gmail.com

Post a Comment

0 Comments