Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

TAKWIMU: VIFO VYA WATOTO CHINI YA UMRI WA MIAKA MITANO VIMEPUNGUA NCHINI

 

                                           Picha: un news.

Kwa mujibu wa Hotuba ya Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia wazee na watoto ya Mwaka 2020/2021, katika kipengele C cha utekelezaji wa majukumu ya idara kuu ya afya (fungu 52) huduma za Chanjo kutokana na huduma za Chanjo zilizotolewa na Serikali kutoka Mwaka 2015/16 Mpaka Mwaka 2019/2020 zimeleta matokeo ya kupunguza vifo vya watoto walio chini ya Umri wa miak 5.

Hii ni kulingana na takwimu zinazokusanywa na Wizara kutoka katika vituo vya kutolea huduma za afya nchini.

Jedwali hili linafafanua vifo vilivyopungua kwa kuonesha umri wa watoto.

UMRI

VIFO VYA MWAKA 2015/2020.

VIFO VYA MWAKA 2019/2020.

VIZAZI HAI.

0 - 1

43

9

1,000

1 - 5

67

11

1,000

Chanzo: Hotuba ya Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia wazee na watoto ya Mwaka 2020/2021.

Waandishi wa Habari na wachambuzi wa Takwimu hizi ni: -

John Kabambala: kabambalajohn@gmail.com na

Hamad Rashid: hamadrashidhd@gmail.com

 

Post a Comment

0 Comments