Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

TAKWIMU ZA RUZUKU SHULE ZA SEKONDARI MKOA WA GEITA

 

Kwa mujibu wa ripoti ya utoaji Ruzuku kwa Shule za Sekondari nchini ya mwaka wa fedha 2019/2020, iliotolea na Ofisi ya Rais tawala za mikoa na serikali za mitaa -TAMISEMI inaonesha kiasi cha Ruzuku iliotolewa na serikali kwenda Shule za Sekondari zote nchini za Serikali.

Mkoa wa Geita una halmashauri Sita ambapo Shule ya Katoro Sekondari iliopo katika halmashauri ya Wilaya ya Geita imeongoza kwa kupewa Ruzuku kubwa zaidi kuliko Shule zingine zilizopo kwenye Mkoa huo,ikiwa ni zaidi ya milioni 26 zilitengwa kwa kipindi cha mwaka mmoja.

Jedwali hapo hapo chini linaonesha Shule zilizopewa Ruzuku kubwa zaidi katika mkoa wa Geita.

MKOA

HALMASHAURI

JINA LASHULE

KIASI CHA RUZUKU

 

 GEITA

Geita Dc

Katoro Sekondari

Tshs.26,955,515

Geita Tc

Geita Sekondari

Tshs.21,145,656

Chato Dc

Buseresere Sekondari

Tshs.20,627,750

Bukombe Dc

Runzewe Sekondari

Tshs.19,210,548

Nyanghwale Dc

Msalala Sekondari

Tshs.11,975,266

Mbogwe Dc

Masumbwe Sekondari

Tshs.18,527,507

Chanzo: TAMISEMI

Waandishi wa Habari na wachambuzi wa Taakwimu hizi ni: -

John Kabambala: kabambalajohn@gmail.com

Hamad Rashid: hamadrashidhd@gmail.com

 

Post a Comment

0 Comments