Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

TAKWIMU ZA RUZUKU SHULE ZA SEKONDARI MKOA WA KIGOMA

 

 


Kutoka katika Ripoti ya utoaji Ruzuku kwa Shule za Sekondari nchini ya Mwaka wa Fedha 2019/2020, iliotolea na Ofisi ya Rais tawala za mikoa na Serikali za mitaa -TAMISEMI ikionesha kiasi cha Ruzuku iliotolewa na serikali kwenda Shule za Sekondari zote nchini za Serikali. 

Upande wa Mkao wa Kigoma, Shule ya Sekondari Nguruka iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza inaongoza kupewa Ruzuku kubwa kuzidi Shule zote zilizopo Halmashauri za Mkoa wa Kigoma wakati Shule ya Sekondari Kitanga ya Halmashauri ya Wilaya ya  Kasulu ikipewa Ruzuku ndogo zaidi kwa Mwaka wa Fedha wa 2019/2020 kama jedwali linavyofafanua hapo chini.

 

MKOA.

 

 

HALMASHAURI

SHULE ILIYOPEWA RUZUKU KUBWA.

KIASI CHA FEDHA.

SHULE ILIYOPEWA RUZUKU NDOGO.

KIASI CHA FEDHA.

 

 

 

KIGOMA

BUHIGINE DC

BUYENZI

8,640,585

NYARUBONZA

1,306,439

KAKONKO DC

KAKONKO

9,062,349

KASHOZA

2,517,082

KASULU DC

KASAGENZI

10,044,871

KITANGA

503,931

KASULU TC

HWAZI

12,603,023

MWIBUYE

2,461,645

 

KIBONDO DC

MALAGARASI

10,336,500

MURUNGU

2,335,500

 

KIGOMA DC

MWANDIGA

10,361,684

MKIGO

3,300,456

 

KIGOMA MC

BURONGE

10,965,706

RUBUGA

2,580,249

 

UVINZA DC

NGURUKA

13,183,057

LUGUFU BOYS

3,353,211

Chanzo: TAMISEMI

Waandishi wa Habari na wachambuzi wa Takwimu hizi ni: -

John Kabambala: kabambalajohn@gmail.com  

Hamad Rashid: hamadrashidhd@gmail.com

 

 

 

Post a Comment

0 Comments