Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

TAKWIMU ZA RUZUKU SHULE ZA SEKONDARI MKOA WA KAGERA

 

 

 Kutoka katika Ripoti ya utoaji Ruzuku kwa Shule za Sekondari nchini ya Mwaka wa Fedha 2019/2020, iliotolea na Ofisi ya Rais tawala za mikoa na Serikali za mitaa -TAMISEMI ikionesha kiasi cha Ruzuku iliotolewa na serikali kwenda Shule za Sekondari zote nchini za Serikali. 

Upande wa Mkoa wa Kagera, Shule ya Sekondari Nyakahura iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo inaongoza kupewa Ruzuku kubwa kuzidi Shule zote zilizopo Halmashauri za Mkoa wa Kagera wakati Shule ya Sekondari Ngara High ya Halmashauri ya Wilaya ya  Ngara ikipewa Ruzuku ndogo zaidi kwa Mwaka wa Fedha wa 2019/2020 kama jedwali linavyofafanua hapo chini.

 

MKOA.

 

 

HALMASHAURI

SHULE ILIYOPEWA RUZUKU AKUBWA.

KIASI CHA FEDHA.

SHULE ILIYOPEWA RUZUKU NDOGO.

KIASI CHA FEDHA.

 

 

 

KAGERA

BIHARAMULO DC

NYAKAHURA

14,857,391

KATAHAKA

2,974,939

BUKOBA DC

MARUKU

8,482,673

KIKOMELO

2,434,743

BUKOBA MC

IHUNGO

14,015,448

IJUNGANYONDO

2,235,928

KARAGWE DC

BUGENE

13,143,771

IHEMBE

3,412,814

 

KYERWA DC

NYABISHENGE

9,355,064

MURONGO

2,400,745

 

MISENYI DC

BUNAZI

9,348,661

RUZINGA

1,923,197

 

MULEBA DC

MUBUKA

14,466,410

BUMBIRE

2,862,391

 

NGARA DC

KABANGA

11,343,376

NGARA HIGH

497,664

Chanzo: TAMISEMI

Waandishi wa Habari na wachambuzi wa Taakwimu hizi ni: -

John Kabambala: kabambalajohn@gmail.com

Hamad Rashid: hamadrashidhd@gmail.com

 

 

Post a Comment

0 Comments