Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

TAKWIMU ZA RUZUKU ZILIZOTOLEWA SHULE ZA SEKONDARI MKOA WA ARUSHA 2019/2020

Kutoka katika Ripoti ya utoaji Ruzuku kwa Shule za Sekondari nchini ya Mwaka wa Fedha 2019/2020, iliotolewa na Ofisi ya Rais tawala za mikoa na Serikali za mitaa -TAMISEMI inaonesha kiasi cha Ruzuku iliotolewa na serikali kwenda Shule za Sekondari  za Serikali zote Tanzania Bara.

 Upande wa Mkoa wa Arusha, Shule ya Sekondari Ngarenaro iliyopo Halmashauri ya Jiji la Arusha inaongoza kupewa Ruzuku kubwa kuzidi Shule zote zilizopo Halmashauri za Mkoa huo, wakati Shule ya Sekondari Qurus kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Karatu ikipewa Ruzuku ndogo zaidi kwa Mwaka wa Fedha wa 2019/2020 kama jedwali linavyofafanua hapo chini.

 

MKOA.

 

 

HALMASHAURI

SHULE ILIYOPEWA RUZUKU KUBWA.

KIASI CHA FEDHA.

SHULE ILIYOPEWA RUZUKU NDOGO.

KIASI CHA FEDHA.

 

 

 

ARUSHA

ARUSHA CC

NGARENARO

21,230,327

KORONA

730,849

ARUSHA DC

MRINGA

18,794,886

LOKISITO

1,508,992

KARATU DC

KARATU

8,625,473

QURUS

482,719

LONGIDO DC

LONGIDO

16,786,591

MATALE

827,180

MERU DC

KISIMIRI

12,251,959

MAJENGO KATI

562,688

MONDULI DC

IRKISONGO

10,900,766

NANJA

5,084,634

NGORONGORO DC

NAINOKANOKA

11,878,032

ARASHI

4,118,829

 Chanzo: TAMISEMI

Waandishi wa Habari na wachambuzi wa Takwimu hizi ni: -

John Kabambala: kabambalajohn@gmail.com      

Hamad Rashid: hamadrashidhd@gmail.com  

 

 

 

 

 

 

Post a Comment

0 Comments