Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

TAKWIMU:WALIMU WANAONGOZA KUWAFANYIA UKATILI WA KIMWILI WANAFUNZI SHULENI

Kwa mujibu wa Ripoti ya utafiti wa Hali ya Ukatili kwa watoto Shuleni Tanzania Bara, ya mwaka 2020 iliyotolewa na Haki Elimu Tanzania Mwezi machi 2021, Jumla ya wanafunzi 744 sawa na Asilimia 47.2% ya watoto wote wa shule ambao walihojiwa walisema walifanyiwa ukatitili wa kimwili kutoka kwa walimu wao, Wakati 20% ya wanafunzi wahojiwa walisema ukatili wa aina hiyo waliupata kutoka kwa wazazi / walezi wao kwa Shule za Msingi na Sekondari katika kipindi cha miezi sita kabla ya utafiti kufanyika.

Aidha ripoti hiyo inaonesha wahanga wengi wa ukatili wa kimwili ni wanafunzi wa Shule za Sekondari kwa waliohojiwa 420 sawa na Asilimia (53.3%) walifanyiwa ukatili huo kutoka kwa walimu, ikilinganishwa na wanafunzi wa shule za msingi ambao ni 324 sawa na asilimia (41.2%).

Lakini pia ripoti ya utafiti wa Hali ya Ukatili kwa watoto Shuleni Tanzania Bara imefafanua jumla ya wanafunzi wa Shule za Msingi 198 sawa na 25.2% walifanyiwa ukatili wa kimwili kutoa kwa wazazi na walezi wao na kwa upande wa Shule za Sekondari wanafunzi 117 sawa na 14.8% nao walifanyiwa ukatili wa aina hiyo kutoka kwa wazazi na walezi wao.

Hata hivyo wanafunzi wa Shule za Msingi na Sekondari waliezea kufanyiwa ukatili wa kimwili kutoka kwa wanafunzi wenzao, marafiki zao, jamaa wa karibu, wafanyakazi wa Nyumbani na watu wengine.

 

JINSI

ENEO

SHULE YA MSINGI

SHULE YA SEKONDARI

JUMLA

Mjini

Vijijini

Binafisi

Serikali

Jumla

Binafisi

Serikali

Jumla

Binafisi

Serikali

Jumla

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

WALIMU

Wavulana

178 (19.8%)

114 (16.8%)

45 (20.5%)

89 (15.7%)

134 (17.0%)

48 (18.0%)

110 (21.1%)

158 (20.1%)

93 (19.1%)

199 (18.3%)

292 (18.5%)

Wasichana

236 (26.3%)

216 (31.9%)

55 (25.0%)

135 (23.8%)

190 (24.1%)

105 (39.5%)

157 (30.1%)

262 (33.2%)

160 (32.9%)

292 (26.8%)

452 (28.7%)

Jumla

414 (46.1%)

330 (48.7%)

100 (45.5%)

224 (39.5%)

324 (41.2%)

153 (57.5%)

267 (51.1%)

420 (53.3%)

253 (52.1%)

491 (45.1%)

744 (47.2%)

RAFIKI WA KARIBU

Wavulana

20 (2.2%)

17 (2.5%)

11 (5.0%)

9 (1.6%)

20 (2.5%)

2 (0.8%)

15 (2.9%)

17 (2.2%)

13 (2.7%)

24 (2.2%)

37 (2.3%)

Wasichana

5 (0.6%)

13 (1.9%)

1 (0.5%)

8 (1.4%)

9 (1.1%)

1 (0.4%)

8 (1.5%)

9 (1.1%)

2 (0.4%)

16 (1.5%)

18 (1.1%)

Jumla

25 (2.8%)

30 (4.4%)

12 (5.5%)

17 (3.0%)

29 (3.7%)

3 (1.1%)

23 (4.4%)

26 (3.3%)

15 (3.1%)

40 (3.7%)

55 (3.5%)

WANAFUNZI WENZAO

Wavulana

36 (4.0%)

44 (6.5%)

6 (2.7%)

26 (4.6%)

32 (4.1%)

14 (5.3%)

34 (6.5%)

48 (6.1%)

20 (4.1%)

60 (5.5%)

80 (5.1%)

Wasichana

41 (4.6%)

35 (5.2%)

9 (4.1%)

29 (5.1%)

38 (4.8%)

11 (4.1%)

27 (5.2%)

38 (4.8%)

20 (4.1%)

56 (5.1%)

76 (4.8%)

Jumla

77 (8.6%)

79 (11.7%)

15 (6.8%)

55 (9.7%)

70 (8.9%)

25 (9.4%)

61 (11.7%)

86 (10.9%)

40 (8.2%)

116 (10.7%)

156 (9.9%)

WALEZI/WAZAZI

Wavulana

75 (8.4%)

52 (7.7%)

16 (7.3%)

65 (11.5%)

81 (10.3%)

19 (7.1%)

27 (5.2%)

46 (5.8%)

35 (7.2%)

92 (8.4%)

127 (8.1%)

Wasichana

114 (12.7%)

74 (10.9%)

32 (14.5%)

85 (15.0%)

117 (14.9%)

29 (10.9%)

42 (8.0%)

71 (9.0%)

61 (12.6%)

127 (11.7%)

188 (11.9%)

Jumla

189 (21.0%)

126 (18.6%)

48 (21.8%)

150 (26.5%)

198 (25.2%)

48 (18.0%)

69 (13.2%)

117 (14.8%)

96 (19.8%)

219 (20.1%)

315 (20.0%)

JAMAA WA KARIBU

Wavulana

26 (2.9%)

29 (4.3%)

8 (3.6%)

25 (4.4%)

33 (4.2%)

5 (1.9%)

17 (3.3%)

22 (2.8%)

13 (2.7%)

42 (3.9%)

55 (3.5%)

Wasichana

47 (5.2%)

26 (3.8%)

9 (4.1%)

34 (6.0%)

43 (5.5%)

8 (3.0%)

22 (4.2%)

30 (3.8%)

17 (3.5%)

56 (5.1%)

73 (4.6%)

Jumla

73 (8.1%)

55 (8.1%)

17 (7.7%)

59 (10.4%)

76 (9.7%)

13 (4.9%)

39 (7.5%)

52 (6.6%)

30 (6.2%)

98 (9.0%)

128 (8.1%)

WAFANYAKAZI WA NYUMBANI

Wavulana

5 (0.6%)

1 (0.1%)

0 (0.0%)

2 (0.4%)

2 (0.3%)

2 (0.8%)

2 (0.4%)

4 (0.5%)

2 (0.4%)

4 (0.4%)

6 (0.4%)

Wasichana

11 (1.2%)

4 (0.6%)

6 (2.7%)

2 (0.4%)

8 (1.0%)

1 (0.4%)

6 (1.1%)

7 (0.9%)

7 (1.4%)

8 (0.7%)

15 (1.0%)

Jumla

16 (1.8%)

5 (0.7%)

6 (2.7%)

4 (0.7%)

10 (1.3%)

3 (1.1%)

8 (1.5%)

11 (1.4%)

9 (1.9%)

12 (1.1%)

21 (1.3%)

WENGINE

Wavulana

62 (6.9%)

35 (5.2%)

14 (6.4%)

39 (6.9%)

53 (6.7%)

11 (4.1%)

33 (6.3%)

44 (5.6%)

25 (5.1%)

72 (6.6%)

97 (6.2%)

Wasichana

42 (4.7%)

17 (2.5%)

8 (3.6%)

19 (3.4%)

27 (3.4%)

10 (3.8%)

22 (4.2%)

32 (4.1%)

18 (3.7%)

41 (3.8%)

59 (3.7%)

Jumla

104 (11.6%)

52 (7.7%)

22 (10.0%)

58 (10.2%)

80 (10.2%)

21 (7.9%)

55 (10.5%)

76 (9.6%)

43 (8.8%)

113 (10.4%)

156 (9.9%)

Chanzo: Haki Elimu Tanzania.

Waandisi wa Habari na wachambuzi wa Takwimu hizi ni : -

John Kabambala: kabambalajohn@gmail.com

Hamad Rashid: hamadrashidhd@gmail.com


Post a Comment

0 Comments