Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

TAKWIMU:WANAFUNZI WA SHULE ZA MSINGI WANACHAPWA SANA NYUMBANI

 

Kwa mujibu wa Ripoti ya ukatili wa wanafunzi uwiano wa wanafunzi wa Shule za Msingi na Sekondaeri waliofanyiwa ukatili wa kimwili wa kuchapwa viboko nyumbani, inaonesha wanafunzi wa Shule za Msingi wanaongoza hasa wakike ukilinganisha na wanafunzi walioko Sekondari.

Wanafunzi wa Shule za Msingi waliofanyiwa ukatili wa kimwili kwa kuchapwa wakiwa Nyumbani ni 59 sawa na 8.9 % huku wanafunzi waliofanyiwa ukatili wa aina hiyo upande wa Shule za Sekondari wakiwa nyumbani ni 31 sawa na  3.4 %

Jedwali hapo chini linaonesha uwiano wa wanafunzi waliochapwa mara nyingi kati ya wanafunzi wa Shule za Msingi na wale wa Sekondari.

JINSI

SHULE ZA MSINGI

SHULE ZA SEKONDARI

JUMLA KUU

 

Binafsi

Serikali

jumla

Binafsi

Serikali

jumla

Binafsi

Serikali

jumla

Me

6 (5.0%)

25 (7.8%)

31 (7.0%)

1 (0.9%)

5 (1.8%)

6 (1.5%)

7 (3.0%)

30 (5.0%)

37 (4.4%)

Ke

6 (4.3%)

34 (10.0%)

40 (8.4%)

8 (4.4%)

17 (5.2%)

25 (4.9%)

14 (4.4%)

51 (7.6%)

65 (6.6%)

Jumla

12 (4.6%)

59 (8.9%)

71 (7.7%)

9 (3.1%)

22 (3.6%)

31 (3.4%)

21 (3.8%)

81 (6.4%)

102 (5.6%)

Chanzo: Haki Elimu

Waandishi wa Habari na wachambuzi wa Takwimu hizi ni: -

John Kabambala: kabambalajohn@gmail.com

Hamad Rashid: hamadrashidhd@gmail.com


Post a Comment

0 Comments