Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

TAKWIMU: MKOA WA KIGOMA UNAKIWANGO CHA JUU MAAMBUKIZI YA MARALIA KWA WATOTO

 

 


 Kutoka katika Ripoti ya Atlasi ya Malaria ngazi ya Halmshauri, iliyofanyiwa utafiti na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Dodoma, Ofisi ya mtakwimu mkuu wa Serikali (OCGS) Zanzibar kwa kushirikiana na Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dodoma pamoja na Wizara ya Afya Zanzibar. Imeutaja Mkoa wa Kigoma kuwa na asilimia kubwa za kiwango cha maambukizi ya Malaria ngazi kwa watoto wa chini ya umri wa miaka mitano kwa asilimia 24.4%. 

Aidha Ripoti hiyo ya Atlasi ya Malaria iliyotolewa Mwezi Agosti 2018,  ilikusanya taarifa za viwango vya Malaria ngazi ya Mkoa, idadi ya watoto chini ya umri wa miaka mitano kwa kila halmashauri na idadi ya watoto chini ya umri wa miaka mitano walio tembelea sehemu zinazo toa huduma za afya kwenye halmashauri. 

Jendwari hapo chini linaonesha Asilimia za maambukizi ya Malaria kwa watoto wenye umri wa chini ya miaka mitano kwa Mikoa yote ya Tanzania Bara na Visiwani.

 

MKOA

ASILIMIA YA KIWANGO CHA MALARIA

TANZANIA BARA

Arusha

1%

Dodoma

1%

Dar es Salaam

1.1%

Geita

17.3%

Iringa

2%

Kagera

15.4%

Katavi

7.1%

Kigoma

24.4%

Kilimanjaro

1%

Lindi

11.7%

Manyara

1%

Mara

11.2%

Mbeya

4%

Mtwara

14,8%

Morogoro

9.5%

Mwanza

8.1%

Njombe

1%

Pwani

5.3%

Rukwa

1.8%

Ruvuma

11.8%

Shinyanga

6.1%

Simiyu

6%

Songwe

1%

Singida

2.3%

Tabora

11.7%

Tanga

3.1%

ZANZIBAR

Unguja Kasikazini

1%

Unguja Kusini

 

1%

Magharibi

1%

Kasikazini Pemba

1%

Kusini Pemba

1%

Chanzo: NBS

Waandishi wa Habari na wachambuzi wa Takwimu hizi ni: -

John Kabambala: kabambalajohn@gmail.com

Hamad Rashid: hamadrashidhd@gmail.com

Post a Comment

0 Comments