Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

TAKWIMU: WANAFUNZI WA KIKE WALIO KUWA NA WAPENZI WANGALI SHULE

 

Kutoka katika  Ripoti ya Shirika la Haki Elimu Tanzania ya Utafiti wa Elimu ya Msingi na Sekondari kwa wasichana  ya Mwaka 2019 utafiti ulifanyika kuangalia athari anazozipata mtoto wa kike na kushindwa kujiamini au kuonekana katika kukabiliana nazo ikiwemo vishawishi vya kuanza mahusiana au kupata ujauzito.

Utafiti huo ulifanyika katika mikoa mitano ya Tanzanai Bara ambayo ni Dar es Salaam, Lindi, Kilimanjaro, Dodoma na Tabora  Halmashari za Wilaya zilizofikiwa ni12, Kata 24, Shule 63 na wanafunzi waliohojiwa ni 1841.

Utafiti pia umezitaja sababu zinazo athiri wasichana kushindwa kujiamini na kuonekana katika utatuzi wa mambo yanayowakabili ambazo zimegawanyika katika makundi matatu, mazingira ya nyumbani ambako vijana wanaishi, mazingira ya kujifunzia na kusoma kutokua rafiki kwa msichana pamoja na  tabia za kijinsia.

 

Katika ukurasa wa 38 jedwali linaonesha asilimia za wasichana waliokua na wapenzi wakiwa Shule na wale walisema hawana wapenzi kwenye  ngazi ya Mkoa na Wilaya.

MKOA

WILAYA

WALIO KUBARI

WALIO KATAA

 

NAMBA

ASILIMIA

NAMBA

ASILIMIA

Dar es Salaam

 Ilala

20

10.9%

163

89.1%

 

Temeke

7

33.3%

14

66.7%

 

Kigamboni

4

1.2%

163

98.8%

Dodoma

Dodoma urban

20

10.8%

166

89.2%

 

Kondoa

12

6.3%

177

93.7%

Lindi

Lindi municipal

4

2.4%

164

97.6%

 

Lindi rural

3

15.0%

17

85.0%

 

Liwale

10

5.7%

164

94.3%

Kilimanjaro

Moshi

13

7.3%

166

92.7%

 

Rombo

6

3.3%

178

96.7%

Tabora

Tabora municipal

11

5.9%

175

94.1%

 

Urambo

12

6.5%

174

93.5%

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Chanzo: Haki Elimu Tanzania.

Waandishi wa Habari na wachambuzi wa Takwimu hizi ni: -

John Kabambala: kabambalajohn@gmail.com 

Hamad Rashid: hamadrashidhd@gmail.com

                                                                                                                       

Post a Comment

0 Comments