Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

TAKWIMU: WANAFUNZI WANAOKOSA TAULO ZA KIKE WAKATI WA HEDHI HAWAHUDHURII MASOMO

Wanafunzi wa kike waliokua wanakosa Taulo za kike za kisasa katika kipindi chao cha Hedhi walikua wanaogopa kuhudhuria masomo darasani imeandika Ripoti ya Utafiti wa Elimu ya Msingi na Sekondari kwa wasichana  Mwaka 2019  kutoka Shirika la Haki Elimu Tanzania.

Jedwali hapo chini linaonesha majawabu ya wanafunzi wa kike walioulizwa juu ya mahudhurio ya masomo darasani kipindi cha mzunguko wa Hedhi.

MKOA

HAWAKUBALIANI KABISA

HAWAKUBALIANI

WALIOKUA UPANDE WOWOTE

WALIOKUBALI

WALIOKUBALI KABISA

DAR ES SALAAM

10.8%

3.5%

12.5%

13.5%

59.6%

KILIMANJARO

3.6%

1.7%

3%

10%

81.8%

TABORA

11%

7%

6.4%

10.5%

65%

DODOMA

5%

7.7%

5%

14.4%

67.5%

LINDI

11%

4.4%

2.8%

9.1%

72.6%

JUMLA

8.4%

4.8%

6%

11.5%

69.2%

Chanzo: Haki Elimu Tanzania.

Waandishi wa Habari na wachambuzi wa Takwimu hizi ni: -

John Kabambala: kabambalajohn@gmail.com 

Hamad Rashid: hamadrashidhd@gmail.com

 

Post a Comment

0 Comments