Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

TAKWIMU ZA KIWANGO CHA MAAMBUKIZI YA MARALIA MKOA WA KAGERA

 

 

 


 


Ripoti ya Atlasi ya Malaria ngazi ya Halmshauri iliyotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS),  Mwezi Agosti 2018 imetaja kiwango cha maambukizi ya Malaria kwa watoto wenye umri wa chini ya miaka mitano  katika Mkoa wa Kagera ni asilimia 15.4%, ikiwa ni kubwa takribani mara mbili zaidi ukilinganisha na wastani wa kitaifa wa asilimia 7.3%. 

Kwa mujibu wa Ripoti hiyo ya Atlasi ya Malaria, kiwango cha juu cha Malaria kipo katika Halmashauri ya Wilaya yaMuleba  asilimia 19.4%, ilhali kiwango kidogo cha Malaria kipo katika Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba ambayo ni asilimia 3.5%. 

Jedwali hapo chini linaonesha asilimia za maambukizi ya Malaria kwa watoto wenye umri wa chini ya miaka mitano kwa Halmashauri za Mkoa waKagera.

 

MKOA

HALMASHAURI.

ASILIMIA         YA KIWANGO CHA MALARIA

 

 

 

KAGERA

MULEBA

19.4%

BIHARAMULO

18.9%

KYERWA

16.7%

NGARA

16.2%

KARAGWE

14.9%

BUKOBA

10.6%

MISSENYI

7.1%

BUKOBA MANISPAA

3.5%

Chanzo: NBS

Waandishi wa Habari na wachambuzi wa Takwimu hizi ni: -

John Kabambala: kabambalajohn@gmail.com

Hamad Rashid: hamadrashidhd@gmail.com

 

 

 


Post a Comment

0 Comments