Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

TAKWIMU ZA RUZUKU KUBWA ZILIZOTOLEWA SHULE ZA SEKONDARI MKOA WA NJOMBE.

 

Kutoka katika Ripoti ya utoaji Ruzuku kwa Shule za Sekondari nchini ya Mwaka wa Fedha 2019/2020, iliotolea na Ofisi ya Rais tawala za mikoa na Serikali za mitaa -TAMISEMI ikionesha kiasi cha Ruzuku iliotolewa na serikali kwenda Shule za Sekondari zote nchini za Serikali.

Upande wa Mkoa wa Njombe, Shule ya Sekondari Makambako kutoka Halmashauri ya Mji wa Makambako inaongoza kupewa Ruzuku kubwa kuzidi Shule zote zilizopo Halmashauri za Mkoa wa Iringa wakati Shule ya Sekondari Kinyika ya Halmashauri ya Wilaya ya Makete ikipewa Ruzuku ndogo zaidi kwa Mwaka wa Fedha wa 2019/2020 kama jedwali linavyofafanua hapo chini.

MKOA.

 

 

HALMASHAURI

SHULE ILIYOPEWA RUZUKU KUBWA.

KIASI CHA FEDHA.

SHULE ILIYOPEWA RUZUKU NDOGO.

KIASI CHA FEDHA.

 

 

 

NJOMBE

LUDEWA DC

CHIEF KIDULILE

8,409,487

KETEWAKA

2,230,530

MAKAMBAKO TC

MAKAMBAKO

15,009,555

MLOWA

3,989,327

MAKETE DC

IWAWA

9,369,961

KINYIKA

492,945

NJOMBE DC

SOVI

6,943,054

MFRIGA

1,182,525

 

NJOMBE TC

NJOMBE

11,079,801

VIZIWI NJOMBE

1,192,371

 

WANGONG’OMBE DC

WANGING’OMBE

12,568,828

IGOSI

2,703,111

Chanzo: TAMISEMI
Waandishi wa Habari na wachambuzi wa Takwimu hizi ni: -
John Kabambala: kabambalajohn@gmail.com  
Hamad Rashid: hamadrashidhd@gmail.com  

 

 

Post a Comment

0 Comments