Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

TAKWIMU:RUZUKU ZILIZO PELEKWA MKOA WA SONGWE 2019/2020.

 

Kutoka katika Ripoti ya utoaji Ruzuku kwa Shule za Sekondari nchini ya Mwaka wa Fedha 2019/2020, iliotolea na Ofisi ya Rais tawala za mikoa na Serikali za mitaa -TAMISEMI ikionesha kiasi cha Ruzuku iliotolewa na serikali kwenda Shule za Sekondari zote nchini za Serikali.

Upande wa Mkao wa Songwe, Shule ya Sekondari Mwl J.K Nyerere iliyopo Halmashauri ya Mji wa Tunduma inaongoza kupewa Ruzuku kubwa kuzidi Shule zote zilizopo Halmashauri za Mkoa wa Songwe wakati Shule ya Sekondari Nzoka kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Mombo ikipewa Ruzuku ndogo zaidi kwa Mwaka wa Fedha wa 2019/2020 kama jedwali linavyofafanua hapo chini.

 

MKOA.

 

 

HALMASHAURI

SHULE ILIYOPEWA RUZUKU KUBWA.

KIASI CHA FEDHA.

SHULE ILIYOPEWA RUZUKU NDOGO.

KIASI CHA FEDHA.

 

 

SONGWE

ILEJE DC

ILEJE

6,883,553

NGULUNGULU

1,628,233

MBOZI DC

NALYELYE

17,179,608

ISALALO

1,658,845

MOMBO DC

IVUNA

5,422,556

NZOKA

1,247,441

SONGWE DC

MAWENI

14,277,720

NAMKWE

1,674,139

 

TUNDUMA TC

MWL.JK.NYERERE

17,544,640

NAMOLE

1,563,581

Chanzo: TAMISEMI

Waandishi wa Habari na wachambuzi wa Takwimu hizi ni: -

John Kabambala: kabambalajohn@gmail.com  

Hamad Rashid: hamadrashidhd@gmail.com  

 

 

 

Post a Comment

0 Comments