Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

TAKWIMU:WILAYA 10 ZENYE UFAULU WA CHINI NA WILYA 10 ZENYE UFAULU WA JUU TANZANIA BARA.

 

 

Kutoka katika  Ripoti ya Tathmini ya Kujifunza ya kutoka Taasisi ya Uwezo Tanzania imeonesha Wilaya 10 zilizofanya vibaya zaidi kwenye ufaulu wa wanafunzi na Shule 10 zilizofanya vizuri zaidi kwa Masomo matatu yaliofanyiwa utafiti ambayo ni Somo la Kiswahili, Kingereza na Kuhesabu,wanafunzi waliofanyiwa utafiti huo ni wa kuanzia umri wa miaka 9-13.

Jedwali hapo chini linaeleza zaidi ufaulu kwa majaribio ya Masomo Matatu, Kiswahili,Kingereza na Kuhesabu.

WILAYA ZENYE UFAULU WA CHINI

WILAYA

ASILIMIA

Nzega

24%

Bahi

29%

Misungwi

32%

Kilindi

33%

Uyui

35%

Gairo

35%

Ukerewe

35%

Morogoro

35%

Mkuranga

36%

Chato

36%

WILAYA ZENYE UFAULU WA JUU

WILAYA

ASILIMIA

Kinondoni

61%

Rungwe

66%

Temeke

66%

Kigamboni

68%

Bukoba Mjini

71%

Ubungo

71%

Iringa Mjini

72%

Rombo

72%

Mbeya Mjini

73%

Meru

73%

Chanzo: Uwezo Tanzania.

Waandishi wa Habari na wachambuzi wa Takwimu hizi ni: -

John Kabambala: kabambalajohn@gmail.com 

Hamad Rashid: hamadrashidhd@gmail.com 

 

Post a Comment

0 Comments