Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

TAKWIMU: MANYARA INAONGOZA KUWA NAWANAFUNZI WENYE ULEMAVU WA MTINDIO WA UBONGO

 

Ripoti ya takwimu za elimu ya mwaka 2020, Best 2020 iliotolewa na Ofisi ya Rais tawala za mikoa na serikali za mitaa TAMISEMI , inaonesha idadi ya wanafunzi wenye Ulemavu wa Mtindio wa Ubongo kwa Shule za awali za serikali na binafsi kwa kila mkoaTanzania bara, ambapo idadi yao ni jumla ya wanafunzi walio na mtindio wa ubongo ni 215.

Mkoa wa Manyara unaongoza kwa kuwa na wanafunzi wengi wa darasa la awali wenye Uleamavu wa Mtindio wa Ubongo.

Aidha ripoti ya Best 2020 imeutaja mkoa wa Songwe kutokua na mwanafunzi wa darasa la awali aliye na mtindio wa ubongo.

MIKOA

Wenye Ulemavu wa Mtindio wa Ubongo

M

K

Arusha

1

 2

Dar es Salaam

7

3

Dodoma

15

6

Geita

2

 3

Iringa

12

5

Kagera

5

3

Katavi

1

0

Kigoma

1

0

Kilimanjaro

11

 6

Lindi

2

 3

Manyara

14

14

Mara

1

1

Mbeya

7

5

Morogoro

4

4

Mtwara

0

3

Mwanza

2

2

Njombe

6

1

Pwani

15

7

Rukwa

4

3

Ruvuma

1

2

Shinyanga

1

0

Simiyu

0

2

Singida

3

 4

Songwe

0

0

Tabora

2

2

Tanga

11

 6

TOTAL

128

87

Chanzo: Kitabu cha Takwimu za Elimu Best 2020.

Waandishi wa Habari na wachambuzi wa Takwimu hizi ni: -

John Kabambala: kabambalajohn@gmail.com 

Hamad Rashid: hamadrashidhd@gmail.com

Post a Comment

0 Comments