Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

TAKWIMU MOROGORO INAONGOZA KUWA NAWANAFUNZI WENYE ULEMAVU WA AFYA YA AKILI

 

Ripoti ya takwimu za elimu ya mwaka 2020 iliotolewa na Ofisi ya Rais tawala za mikoa na serikali za mitaa, inaonesha idadi ya wanafunzi wenye Ulemavu wa Afya ya Akili  kwa shule za awali za serikali na binafsi kwa kila mkoa nchini, ambapo jumala ya wanafunzi wa Darasa la Awali walio na ulemavu wa Afya ya akili ni 1064 kwa Shule zote za Serikali na za binafsi Tanzania bara.

Mkoa wa Morogoro unaongoza kwa kuwa na wanafunzi wengi wa darasa la awali wenye Uleamavu wa Afya ya Akili.

Aidha Ripoti ya Best 2020, imeutaja Mkoa wa Katavi kuwa na idadi ndogo zaidi ya wanafunzi wa Darasa la Awali walio na ulemavu wa Afya ya akili.

Jedwali hapo chini linathibitisha hali halisi: -

MIKOA

Wenye Ulemavu wa Afya ya Akili

M

K

Arusha

16

 9

Dar es Salaam

46

 35

Dodoma

26

19

Geita

32

19

Iringa

20

15

Kagera

46

37

Katavi

4

 2

Kigoma

6

 12

Kilimanjaro

17

 6

Lindi

3

4

Manyara

18

9

Mara

23

22

Mbeya

31

 32

Morogoro

69

51

Mtwara

19

9

Mwanza

15

14

Njombe

16

10

Pwani

58

37

Rukwa

10

 8

Ruvuma

16

19

Shinyanga

13

11

Simiyu

14

10

Singida

8

19

Songwe

8

10

Tabora

19

9

Tanga

45

 38

TOTAL

598

466

Chanzo: Kitabu cha Takwimu za Elimu Best 2020.

Waandishi wa Habari na wachambuzi wa Takwimu hizi ni: -

John Kabambala: kabambalajohn@gmail.com 

Hamad Rashid: hamadrashidhd@gmail.com

 

Post a Comment

0 Comments