Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

TAKWIMU VIKUNDI VYA MALEZI YA WATOTO VILIVYO UNDWA 2020

 


Kwamujibu wa kitabu cha hali ya uchumi wa Taifa mwaka 2020, Serikali iliendelea kuwajengea uwezo wazazi na walezi wa watoto kupitia maafisa maendeleo ya jamii. 

Jumla ya  vikundi 2,777 vya malezi viliundwa mwaka 2020 ikilinganishwa na vikundi 1,186 mwaka 2019, Vikundi hivyo vinalenga kuhamasisha na kuhimiza malezi chanya kwa familia na jamii. 

VIKUNDI VILIVYO UNDWA

Mwaka

Idadi

2020

2,777

2019

1,186

 Chanzo: Kitabu cha hali ya Uchumi wa Taifa katika Mwaka 2020.

Waandishi wa Habari na wachambuzi wa Takwimu hizi ni: -

John Kabambala: kabambalajohn@gmail.com 

Hamad Rashid: hamadrashidhd@gmail.com

Post a Comment

0 Comments