Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

TAKWIMU: IDADI YA WATOTO WALIO RUDIA MADARASA 2020

 


Ripoti ya Takwimu za Elimu ya mwaka 2020 iliotolewa na Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za mitaa-TAMISEMI, Inaonesha idadi ya wanafunzi walio rudia madarasa kwa shule za Msingi za serikali na binafisi kwa halmashauri na Mkoa nchini.

Jumla ya wanafunzi 379683 walirudia madarasa kuanzia darasa la kwanza hadi la saba kwa mwaka 2020 kwa Shule zote za Serikali na binafisi Tanzania bara.

Jedwali hapo chini linaonesha uhalisia : -

 

DARASA

2020

WAVULANA

WASICHANA

JUMLA

Darasa I

40940

34109

75049

Darasa II

42895

34731

77626

Darasa III

52663

42024

94687

Darasa IV

63404

54358

117762

Darasa V

1729

1580

3309

Darasa VI

5287

5488

10775

Darasa VII

273

202

475

Jumla Kuu

207191

172492

379683

 

Chanzo: Kitabu cha Takwimu za Elimu ya Mwaka 2020.

Waandishi wa Habari na wachambuzi wa Takwimu hizi ni: -

John Kabambala: kabambalajohn@gmail.com 

Hamad Rashid: hamadrashidhd@gmail.com

Post a Comment

0 Comments