Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

TAKWIMU: IDADI YA WATOTO WANAO TOKA MAZINGIRA MAGUMU DARASA LA KWANZA

 


Ripoti ya takwimu za elimu ya mwaka 2020 iliotolewa na Ofisi ya Rais tawala za mikoa na serikali za mitaa, inaonesha idadi ya wanafunzi wanaotoka katika mazingira magumu  kwa shule za Msingi za serikali na binafisi kwa halmashauri na Mkoa nchini, ambapo jumala ya wanafunzi wa Darasa la kwanza walio andikishwa kwa mwaka 2020 ni 10,925,896 kwa Shule zote za Serikali na binafisi Tanzania bara.

Mkoa wa Mwanza unaongoza kuandikisha wanafunzi wengi wanao toka mazingira magumu  797539 wa darasa la awali, huku Mkoa wa Dar es Salaam ukiandikisha wanafunzi 706494.

Aidha Ripoti ya Best 2020, imeutaja Mkoa wa Njombe  kuwa imeandikisha idadi ndogo zaidi ya wanafunzi wanaotoka mazingira magumu 168722 wa Darasa la kwanza.

Chanzo: Kitabu cha Takwimu za Elimu ya Mwaka 2020.

Waandishi wa Habari na wachambuzi wa Takwimu hizi ni: -

John Kabambala: kabambalajohn@gmail.com 

Hamad Rashid: hamadrashidhd@gmail.com

Post a Comment

0 Comments