Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

TAKWIMU: KUPANDA NA KUSHUKA KWA USAJILI WA WATOTO WENYE ULEMAVU TANZANIA

 


kwa mujibu wa Ripoti ya utafiti juu ya upataji Elimu ya awali kwa watoto wenye ulemavu Tanzania Bara, iliyozinduliwa sepemba 14, 2021na Shirika la Haki Elimu Tanzania, katika ukurasa wa kumi na tano Ripoti inaonesha watoto wenye ulemavu waliosajiliwa walikua 3,713 Mwaka  2017 ilhali mwaka 2019 walikua 4,240.

Ongezeko hilo ni kutoka 14% mwaka 2017 hadi kufikia 21.5%  mwaka 2019

Chanzo: Haki Elimu

Waandishi wa Habari na wachambuzi wa Takwimu hizi ni: -

John Kabambala: kabambalajohn@gmail.com 

Hamad Rashid: hamadrashidhd@gmail.com

 

 

 

Post a Comment

0 Comments