Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

TAKWIMU: WATOTO WA CHEKECHEA WENYE ULEMAVU WALIKUA 17,771, 2019

 


kwa mujibu wa ripoti ya utafiti juu ya upataji Elimu ya awali kwa watoto wenye ulemavu Tanzania Bara, iliyozinduliwa sepemba 14, 2021na Shirika la Haki Elimu Tanzania, katika ukurasa wa kwanza Ripoti inaonesha watoto wenye ulemavu waliosajiliwa walikua 17,77 walio na umri wa mika minne hadi mitano Mwaka 2019.

Kutoka kweye Shule za Serikali walikua watoto 16,155  sawa na 90.9% wakati katika Shule za binafsi walikua watoto 1,616 sawa na 9.1%.

Chanzo: Haki Elimu

Waandishi wa Habari na wachambuzi wa Takwimu hizi ni: -

John Kabambala: kabambalajohn@gmail.com 

Hamad Rashid: hamadrashidhd@gmail.com

 

 

Post a Comment

0 Comments