Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

TAKWIMU: WATOTO YATIMA WALIO ANDIKISHWA DARASA LA KWANZA

 

Ripoti ya takwimu za elimu ya mwaka 2020 iliotolewa na Ofisi ya Rais tawala za mikoa na serikali za mitaa, inaonesha idadi ya wanafunzi  yatima  wavulana na wasichana  kwa shule za msingi za serikali na binafisi kwa halmashauri na Mkoa nchini.

Jumla ya wanafunzi wa Darasa la kwanza walio andikishwa kwa mwaka 2020 ni 10,925,896 Wavulana ni 5,443,914  na Wasichana ni 5,481,982 kwa Shule zote za Serikali na binafisi Tanzania bara.

Mkoa wa Mwanza unaongoza kwa kuwa na wanafunzi Wavula  yatima walio andikishwa  394098 na Wasichana 403441 wa darasa la kwanza, huku Mkoa wa Dar es Salaam ukifuatia kwakuandikisha wanafunzi Wavulana 350460 na Wasichana 356034.

Chanzo: Kitabu cha Takwimu za Elimu ya Mwaka 2020.

Waandishi wa Habari na wachambuzi wa Takwimu hizi ni: -

John Kabambala: kabambalajohn@gmail.com 

Hamad Rashid: hamadrashidhd@gmail.com

Post a Comment

0 Comments