Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

BINTI AKATAA KUOLEWA HADI ATIMIZE NDOTO ZAKE.  Kamissa Traoré mwenye umli miaka 14 kutoka nchini Mali amesema hawezi kujihusisha na maswala ya ndoa kwasasa  kwa isipokua tu wakati wake unaofaa ukifika atafanya hivyo.       Hata hivyo amebainisha kwamba hivi sasa, bado ni msichana na mahali pake ni shuleni hadi atakapo timiza ndoto zake" - amesema, amejaa tumaini la baadaye.

Post a Comment

0 Comments