Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

Mwalimu wa Sekondary Bravo iliyopo Halmashauli ya Mji wa Ifakara iliopo mkoani morogoro Awazi Palangu amewaomba Wazazi na walezi kuwaeleza ukweli watoto wao hali halisi ya uchumi wafamilia zao.Mwalimu wa Sekondary Bravo  iliyopo Halmashauli ya Mji wa Ifakara Awazi Palangu amewaomba Wazazi na walezi kuwaeleza ukweli watoto wao hali halisi  ya uchumi wafamilia zao.
 Palangu amesema hayo baada ya kuwaona watoto wengi hawapewi mahitaji yao muhimu ya  shuleni kwa wakati,jambo linalo mzohofisha mtoto kisaikolojia hivyo wazazi ni vyema  kuwaeleza  ukweli halihalisi ya maisha yao ya kilasiku.
 Aidha amesema Mara nyingi watoto wanawaamini  wazazi au walezi wao wanapo waahidi jambo zuri kuwatendea kamavile kuwanunulia nguo mpya,viatu na mabegi  inapotokea ahadihiyo kutokamilika kwa sababu zaki uchumi  watoto hukosa amani na kuweza kupoteza uaminifu kwa mtu ambaye alimuahidi, kumpatia zawadi jambo linaloweza kumsababisha ajiingize kwenye vitendo vya vibaya kama wizi na uzulumati.
   Salma Amiti na Olesti Asenga wao niwazazi wamesema unapomwambia mtoto ukweli wa hali ya kiuchumi wako itasadia kumpa furaha siku ukimfanyia jambo zuri bila yeye kumpa taarifa juu ya zawadi utakayo mpatia siku hiyo . 

Post a Comment

0 Comments