Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

Shirika la Afy Duniani (who)limesema Watoto milioni 116 ulimwenguni pote hupata chanjo za msingi kila mwaka, lakini watoto zaidi ya milioni 19 bado hukosa chanjo hizo jambo ambalo nihatari kwa maisha yao.  Shirika la Afy Duniani (who)limesema Watoto milioni 116 ulimwenguni pote hupata chanjo za msingi kila mwaka, lakini watoto zaidi ya milioni 19 bado hukosa chanjo hizo jambo ambalo nihatari kwa maisha yao.
 Nakama tuta zuia chanjo basi magonjwa ya taludi kwenye jamii yetu
 Chanjo ya kuzuia illneseas maut,hii husaidia na inazuia watoto kupata magonjwa kama diphtheria, kisukari, mumps na pertussis ,.
 Aidha shirika hilo limebainisha kwamba watoto na watu wazima ambao hawapati chanjo kipindi cha umli wa kupata chanjo wako hatalini katika magonjwa, matatizo au hata kifo.

Post a Comment

0 Comments