Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

Mama nawa mikono kwa sabuni na maji safi na salama kabla ya kumbeba mtoto wako.


  Mama anapaswa  kuzingatia kanuni za afya  daima kusafisha mikono yako na sabuni,kwa maji safi na salamala hasa unapokaribia kwenda kumbeba mtoto ilikutoacha wadudu wenye magonjwa kwenye mwili wa mtoto wako. Hii itasaidia kuzuia kuenea kwa magonjwa yanayotokana na maji UNICEF Tanzani imesema.

Post a Comment

0 Comments