Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

Unapo muathili mama mtoto alieko tumboni ana athilika pia.


Wakati Umoja wa Mataifa na wadau wake wanapambana kukomesha ukatili na unyanyasaji dhidi ya wanawake, serikali ya Tanzania nayo pia ipo mstari wa mbele kuhakikisha hakuna mwanamke au mtoto  wa kike atakayebaki nyuma katika mpango huo madhubuti.
Akizungumza na Idhaa ya kiswahili ya Umoja wa Mataifa punde tu baada ya kuhutubia mkutano wa 62 wa kamisheni ya hali ya wanawake jijini New York, Marekani,
    Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Watoto na Wazee nchini Tanzania Sihaba Nkinga amesema..Kuhusu tathmini na ufuatiliaji wa mpango huo ulioanzishwa mwaka 2011 ukijikita na ukomeshaji wa ukatili dhidi ya wanawake chini ya ofisi ya Waziri Mkuu,  Bi Nkinga amesema serikali iliamua kutengeneza mpango zikijumuishwa secta zisizo za kiserikali kupinga ukatili huo unapo mkatili mama mtoto alieko tumboni nae ana athilika. Taarifa hii nikwa mjibu wa UN RADIO

Post a Comment

0 Comments