Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

Faida ya mazoezi kwa watoto wadogo .

    Mazoezi nijambo lamuhimu sana katika maisha ya mwanadamu na ilikuiona faida nilazima yaanze kipindi cha utotonim, Tanzania Kids Time imefanikiwa kutembelea kituo cha Watoto STEP UP DAY CARE kilichopo manispaa ya Morogoro ambao nao wameshiriki wiki ya Elimu tangu tarehe 16 july mwakahuu wametoa ushauri juu ya faida ya kufanya mzoezi kwaumli mdogo.

Post a Comment

0 Comments