Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

Mwanafunzi mlemavu akabidhiwa kitimwendo baada ya kutaabika kwamuda mlefu.

Afisa Mipango wa chama cha watu wenye ualbino mkoa wa morogoro bi Shega Mboya amempatia kiti mwendo mwanafunzi Hussein Mohamed mwenye ulemavu wa viungo katika shule ya msingi Kikundi manispaa ya morogoro .  Mtoto huyo alikuwa na changamoto kubwa ya kufika shuleni kutokana na kukosa kiti mwendo.  Msaada huo umetolewa na TAS mkoa wa morogoro kwa kushirikiana na kituo cha mazingira sheria na utawala (CELG). Wanafunzi wenzake, walimu na wadau mbalimbali wamefurahishwa  kwanamna TAS mkowa wa morogo inavyowajali watu wenye ulemavu hususan watoto wenye ulemavu.

Post a Comment

0 Comments