Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

unicef tanzania kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wabisha hodi kigoma kwa kampeni ya lishe dhidi ya watoto.

 Ufuatiliaji wa
Lishe ulioimarishwa mwaka huu  umeanza
wiki hii katika makambi 3 ya wakimbizi huko mkoani Kigoma! Utafiti huo
unaonyesha viashiria mbalimbali juu ya lishe na afya ya watoto kwa ujumla na
wakimbizi swala hili linalenga kuimalisha ukuzi wa watoto. Taarifa hii nikwamjibu wa shirika la kuhudumia
watoto UNICEFTanzania kwa kushirikiana na pamoja na mashirika mengine.


Post a Comment

0 Comments