Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

Urithi wa Ulimwengu katika mikono michanga,sasa umeanza mkoani Morogoro kupitia taasisi ya Regional Tourism and Cultural Network Association.


Taasisi ya Regional Tourism and Cultural Network Association inayo jihusisha na kutangaza utalii wandani makao makuu yake yakiwa mkoani Morogoro wameandaa wiki ya utalii inayo anza tarehe 25-30 kwa kuja na mradi wa kuwashirikisha watoto ilikuwajengea uwezo na uelewazaidi kuhusu umuhimu wa kuutangaza utalii wandani nchini.
  
 Akizungumaza na Tanzania Kids Time mkurugenzi wa taasisi hiyo kwenye viwanja vya jamuhuri Bi,Eda Kapinga amesema lengo kuu la kuwahusisha Watoto kwenye sekta ya utalii nikwa sababu watoto wanaweza kuutangaza zaidi na kuwa mabalozi wema kila hatua yake ya ukuaji.
 Aidha watoto walio shiriki katika bonanza hilo la michezo ya mpila wa minguu na wapente kwa watoto wakike Peter William amesema serikali na mashirika mbalimbali yakiwekeza kwa watoto yatakuwa yamewa rithisha kutangaza utalii wa nchi.
 
 Hatahivyo  Chacha Lego ambae yeye nimiongoni mwa washiriki katiak kufanikisha michezo hiyo amesema watoto wana weza kuleta mabadiliko makubwa kwenye sekta ya utalii kwa siku zijazo isipokua tu,wakielimishwa tangu sasa wakiwa katika umri mdogo.
 

Post a Comment

1 Comments