Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

TAKWIMU ZINAONESHA WATOTO TANZANIA NI MASKINI KWA 30.1%

 


Utafiti wa Mapato na matumizi ya kaya Binafsi 2017/2018 umeonesha watoto wa umri wa miaka 0-17,30.1% ni maskini wa mahitaji ya Msingi ambapo 9.4% ni maskini wa Chakula.

Aidha umaskini wa chakula kwa watoto wa kiume ni 9.5% ilhali watoto wa kike ni 9.4%.

Jedwali hapo chini linaonesha mchanganuo wa Matokeo ya Utafiti huo ukigusa maeneo ya mijini na vijijini.

UMASKINI

ENEO

ASILIMIA

KUKOSA MAHITAJI YA MSINGI.

VIJIJINI.

34.5%

MIJINI.

11.0%

KUKOSA CHAKULA.

VIJIJINI.

11%

MIJINI.

5.4%

 CHANZO: Serikali kupitia (Kitabu cha hali ya Uchumi wa Taifa Mwaka 2018).

Imeandaliwa na John Kabambala & Hamad Rashid.

Post a Comment

0 Comments