Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

TAKWIMU: NBS IMETOA RIPOTI YA IDADI YA WATOTO TANZANI 2020.

 

Kwa mujibu wa ripoti ya hali ya uchumi wa Taifa Mwaka 2020, iliyotolewa na ofisi ya taifa ya takwimu (nbs) 2021, idadi ya watu Tanzania iliongezeka kwa asilimia 3.1 na kufikia watu 57,637,628 ikilinganishwa na watu 55,890,747 mwaka 2019.Tanzania Bara ilikadiriwa kuwa na watu 55,966,030, sawa na asilimia 97.1 ya watu wote na Tanzania Zanzibar ilikadiriwa kuwa na watu 1,671,598.

Kati ya idadi hiyo watoto walikadiriwa kuwa 31,040,164 mwaka 2020 tanzania bara na visiwani kwa mchanganuo wa umri na Jinsi.

UMRI

WATOTO WAKIUME

WATOTO WA KIKE

JUMLA

0 – 4

4,972,289

4,878,738

9,851,027

5 – 9

4,013,263

3,968,953

7,982,216

10 - 14

3,582,899

3,568,790

7,151,689

15 - 19

3,014,118

3,041,114

6,055,232

JUMLA

15,582,569

15,457,595

31,040,164

Chanzo: Ofisi ya Taifa ya Takwimu – NBS.

Wachambuzi wa Takwimu hizi ni:-

John Kabambala kabambalajohn@gmail.com

Hamad Rashid hamadrashidhd@gmail.com

 

 

 

 

Post a Comment

0 Comments