Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

TAKWIMU: WATOTO 4,713,794 WALIFANYISHWA KAZI BILA MALIPO NCHINI.

 

                                                    Chanzo cha picha: habari leo.

Kwamujibu wa ripoti ya utafiti wa utumikishwaji ya mwaka  2016 kutoka Ofisi kuu ya Takwimu ya Taifa (nbs) Watoto 5,066,890 walihusishwa kwenye ajira, ambapo kati yao watoto 4,713,794 walifanyishwa kazi bila malipo mwaka 2014, wakiume wakiwa 2,480,466 na wakike wakiwa 2,233,328.

Pamoja na watoto kutumikishwa lakini taafiti zinaonesha pia wapo watoto 2,942 ambao huwatumikisha watoto wenzao katika kazi mbalimbali za kujiingizia kipato.

AINA YA KAZI

JUMLA

WATOTO WA KIUME

WATOTO WA KIKE

 

 

5,066,890

2,662,098

2,404,792

WAAJIRIWA

174,508

84,798

89,710

WAAJIRI

2,942

2,942

0

WALIOJIAJIRI

43,752

20,817

22,935

WAAJIRIAWA BILA MALIPO

4,713,794

2,480,466

2,233,328

WANAOFANYA KAZI MASHAMBA BINAFSI.

131,894

73,075

58,819

 

Chanzo ni:- Ofisi kuu ya Taifa ya Takwimu – NBS,

Serikali na

Shirika la kazi duniani - ILO Ofisi ya Tanzania.

 

Wandishi wa habari na wachambuzi wa takwimu hizi ni:-

John Kabambala kabambalajohn@gmail.com

Hamad Rashi hamadrashidhd@gmail.com

 

 

Post a Comment

0 Comments