Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

TAKWIMU: WATOTO WALIOHUDHULIA NA WASIOHUDHULIA MASOMO

 

                                                                 Picha:dw.

Kwa mujibu wa ripoti ya takwimu za utumikishwaji watoto ya mwaka 2014 iliotolewa na Ofisi kuu ya Taifa ya Takwimu – nbs, jumla ya watoto kuanzia miaka 5-17 walikuwa 14,666,463 kati yao watoto 2,519,260 hawakwenda shule kabisa, wanaume wakiwa 1,318,000 na wanawake ni 1,201,260.

Aidha kundi la watoto lililo ongoza kutoenda shule kabisa ni kuanzia miaka 5-11, jumla yao wakiwa watoto 2,125,923 wakiume wakiwa 1,093,287 na wakike wakiwa 1,032,636.

Jumla ya watoto 10,233,365 walio na umri wa   miaka 5 – 17 walihudhulia masomo Shuleni ilhali watoto 4,433,098 hawakuhudhuliwa masomo katika kipindi cha Mwaka 2014.

WALIOHUDHULIA SHULE

UMRI

WATOTO WA KIUME

WATOTO WA KIKE

JUMLA

5–17

5,205,256

5,028,109

10,233,365

5-11

3,242,471

3,174,382

6,416,852

12-13

993,047

919,727

1,912,775

14-17

969,738

934,000

1,903,737.

ASILIMIA KWA WALIOHUDHULIA

5–17

50.9%

49.1%

100.0%

5-11

31.7%

31.0%

62.7%

12-13

9.7%

9.0%

18.7%

14-17

9.5 %

9.1%

18.6%

WASIOHUDHULIA SHULE

5–17

2,348,190

2,084,908

4,433,098

5-11

1,216,775

1,107,869

2,324,644

12-13

226,889

178,907

405,795

14-17

904,526

798,133

1,702,659

 

Takwimu hizi ni kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na ofisi kuu ya Taifa ya Takwimu – NBS, kwa kushirikiana na serikali pamoja na shirika la kazi duniani ofisi ya tanzania- ILO.

Wandishi wa habari na wachambuzi wa takwimu hizi ni:-

John Kabambala kabambalajohn@gmail.com

Hamad Rashi hamadrashidhd@gmail.com

Post a Comment

0 Comments