Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

TAKWIMU:MCHANGANUO WA MAKADIRIO YA WATOTO TANZANIA BARA NA VISIWANI

 

Kwa mujibu wa ripoti ya hali ya uchumi wa Taifa Mwaka 2020, iliyotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) 2021,Inaonesha makadirio ya idadi ya watoto Tanzania ni 31,040,164

Kati ya idadi hiyo ya watoto jedwali hapa chini linafafanua mchanganuo wa idadi ya watoto walioko Tanzania Bara na Tanzania Visiwani kwa umri na jinsi.

           WATOTO WA TANZANIA BARA

UMRI

WATOTO WA KIUME

WATOTO WA KIKE

 

JUMLA

0 – 4

4,836,109

4,745,067

9,581,176

5 – 9

3,896,605

3,853,979

7,750,584

10 - 14

3,483,136

3,469,159

6,952,295

15 - 19

2,931,131

2,957,201

5,888,332

JUMLA

15,146,981

15,025,406

30,172,387

 

WATOTO WA TANZANIA VISIWANI

UMRI

WATOTO WA KIUME

WATOTO WA KIKE

 

JUMLA

0 – 4

136,180

133,671

269,851

5 – 9

116,658

114,974

231,632

10 - 14

99,763

99,631

199,394

15 - 19

82,987

83,913

166,900

JUMLA

435,588

432,189

867,777

                                          

Chanzo: Ofisi ya Taifa ya Takwimu – NBS

Wachambuzi wa Takwimu hizi ni: -

John Kabambala kabambalajohn@gmail.com

Hamada Rashid hamadrashidhd@gmail.com

 

 

 

 

Post a Comment

2 Comments

 1. Honger eni kuwa kuendelea kutupatia taarifa mbalimbali zihusivyo taifa letu

  ReplyDelete
  Replies
  1. Asante sana , na tunakushukuru pia na wewe ambae nimdau muhimu unaetembelea tovuti yetu na kusoma machapisho mbalimbali tunayo chapisha.

   Aidha tuana kukaribisha siku zote uendelee kutembelea na kuzitumia habari hizi kama chachu ya maendeleo ya taifa letu asante sana.

   John.E.Kabambala
   P.o.box 2466,
   Mtaa wa Uhuru
   Morogoro,Tz.
   Sim.+255767085647.
   Email: kabambalajohn@gmail.com
   Web: www.tanzaniakidstime.org
   Web: news.un.org/sw
   Journalist of children's issues of TKT/UNRADIO

   Delete