Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

TAKWIMU: KIWANGO CHA KUNYONYESHA KIMESHUKA KWA MAMA WENYE VVU

 

                Picha:habari za un.

TAKWIMU: KIWANGO CHA KUNYONYESHA KIMESHUKA KWA MAMA WENYE VVU

Kwa mujibu wa Tume ya kudhibiti UKIMWI Tanzania  (TACAIDS) wanawake wa kwanzia umri wa miaka 15-49 waliokua wameshazaa miaka mitatu kabla ya utafiti kufanyika 91.6% walikua wakiwanyonyesha watoto wao wa mwisho kwa muda wa miezi 9-11.

 

Kiwango cha unyonyeshaji kimeshuka kutoka 77.8%  kwa watoto wa mwisho kuzaliwa kabla ya utafiti wakinyonyeshwa kwa miezi 12-17 mpaka 44.5% kwa watoto wa mwisho kuzaliwa kabla ya utafiti wakinyonyeshwa kwa miezi 18-23.

 

Aidha wanawake waliopimwa nakugundulika walikua na VVU 43.3%  waliwanyonyesha watoto wao ilhali wasio kua na VVU 59.4% waliwanyonyesha watoto wao katika kipindi cha utafiki kufanyika.

 

Jedwali hapo chini linafafanua asilimia ya watoto waliozaliwa na wanawake wenye umri wa miaka 15-49 katika miaka mitatu iliyotangulia utafiti kwa kuzingatia hali ya kunyonyesha, umri wa mtoto na hali ya VVU ya akina Mama Mwaka  2016-2017.

MAKUNDI

MAMA WASIONYONYESHA WATOTO

WASIONYOSHESHA LAKINI SIO WAKATI WA UTAFITI

WALIONYONYESHA KIPINDI CHA UTAFITI

NAMBA KAMILI

ASILIMIA

UMRI WA MIEZI YA WATOTO KUNYONYA

0-1

0.3%

10.4%

89.3%

100.0%

405

2-3

0.0%

8.0%

92.0%

100.0%

442

4-5

0.6%

9.6%

89.9%

100.0%

428

6-8

0.1%

8.8%

91.1%

100.0%

548

9-11

0.4%

8.0%

91.6%

100.0%

548

12-17

0.7%

21.4%

77.8%

100.0%

1177

18-23

0.3%

55.2%

44.5%

100.0%

933

24-36

0. 1%

94.0%

5.9%

100.0%

164 9

MATOKEO YA VVU KWA AKINA MAMA.

WALIOKUTWA NA MAAMBUKIZI

1.5%

55.2%

43.3%

100.0%

311

WASIOKUTWA NA MAAMBUKIZI

0.3%

40.3%

59.4%

100.0%

5633

WASIOPIMA KABISA

0.2%

48.8%

51.0%

100.0%

200

JUMLA

0.3%

41.3%

58.4%

100.0%

6144

Chanzo: TACAIDS.

Waandishi wa Habari na wachambuzi wa Takwimu hizi: -

John Kabambala: kabambalajohn@gmail.com

Hamad Rashid: hamadrashidhd@gmail.com

 


Post a Comment

0 Comments