Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

TAKWIMU:RIPOTI YA MAHUDHURIO YA KLINIKI KWA MAMA WAJAWAZITO WENYE VVU

 

                   Picha:bongo5.

Katika Ripoti ya matokeo ya utafiti wa Virusi vya UKIMWI ya 2016/2017 kutoka Tume ya kudhibiti UKIMWI(TACAIDS) ikishirikiana na NBS, iliyohusisha mikoa 31 ya Tanzania Bara na Visiwani na kutolewa Mwezi December, 2018 utafiti huo ulizifikia Kaya 14,811, ambapo watu 36,087 waliokua na umri wa zaidi ya miaka 15 na wazee, na watoto 10,452 wa umri wa Mwaka 0 – 14.

Ripoti ilieleza, Mama mjamzito anahatari zaidi ya kumuambukiza Virusi Vya UKIMWI Mtoto kwa njia mbalimbali ikiwemo wakati wa Ujauzito, wakati wa kujifungua na kupitia njia ya Unyonyeshaji.

Kwa mujibu wa ripoti hiyo ya utafiti wa matokeo ya Virusi vya UKIMWI, Pasipo kufanyika uchunguzi ripoti ilionesha kwamba kati ya 20% na 45% ya kiumbe kilichopo tumboni mwa Mama mjamzito kuna uwezekano wa kupata maambuzi ya Virusi vya UKIMWI, ambapo baada ya uchunguzi kufanyika inakadiriwa ni 5% mpaka 10% ndio kiumbe aliyeko tumboni anaweza kupata maambuzi ya Virusi vya UKIMWI kutoka kwa Mama mjamzito, ilhali 10% mapaka 20% Mama akiwa kwenye wakati wa kujifungua na baada ya kujifungua anaweza kukiambukiza Virusi vya UKIMWI kiumbe kilichopo tumboni na 5% mpaka 20% ni kupitia unyonyeshaji.

Katika jitihada za kubaini kupungua kwa maambukizi mapya ya VVU kutoka kwa Mama kwenda kwa Mtoto, Jedwali hapo chini linaonesha Mama wajawazito wenye Virusi vya UKIMWI wa umri wa miaka 15 – 49 waliokua wamejifungua miaka miatatu nyuma kabla ya utafiti kufanyika 2016/2017 walikua wanahudhuria angalau mara moja kliniki ya utunzaji Ujauzito kabla ya kujifungua.

MAENEO YA NCHI

MAMA WAJAWAZITO AMBAO ANGALAU WALIHUDHURIA KLINIKI MOJA YA VVU KABLA YA KUJIFUNGUA.

ASILIMIA

MAKAZI

MJINI

1,780

99.3%

VIJIJINI

4,4 00

98 .7%

TANZANIA BARA/ VISIWANI

TANZANIA BARA

5,858

98.9%

MJINI

1,691

99.3%

VIJIJINI

4,167

98.7%

TANZANIA VISIWANI

322

100.0%

UNGUJA

219

100.0%

PEMBA

10 3

100.0%

                 MIKOA

1

DODOMA

106

99.2%

2

ARUSHA

82

98.6%

3

KILIMANJARO

69

98.4%

4

TANGA

101

90.0%

5

MOROGORO

141

99.3%

6

PWANI

298

100.0%

7

DAR ES SALAAM

280

99.7%

8

LINDI

45

100.0%

9

MTWARA

50

100.0%

10

RUVUMA

315

100.0%

11

IRINGA

218

100.0%

12

MBEYA

241

99.6%

13

SINGIDA

68

100.0%

14

TABORA

691

97.6%

15

RUKWA

526

98.5%

16

KIGOMA

160

99.4%

17

SHINYANGA

442

98.6%

18

KAGERA

156

99.5%

19

MWANZA

224

98.7%

20

MARA

185

97.6%

21

MANYARA

94

100.0%

22

NJOMBE

151

98.0%

23

KATAVI

543

97.4%

24

SIMIYU

192

100.0%

25

GEITA

206

95.7%

26

SONGWE

274

99.0%

27

KASKAZINI UNGUJA

50

100.0%

28

KUSINI UNGUJA

37

100.0%

29

MJINI MAGHARIBI

132

100.0%

30

KASKAZINI PEMBA

48

100.0%

31

KUSINI PEMBA

55

100.0%

Chanzo: Tacaids Tanzania.

Waandishi wa Habari na wachambuzi wa Takwimu hizi ni : -

John Kabambala: kabambalajohn@gmail.com

Hamad Rashid: hamadrashidhd@gmail.com

 

 

 

 

Post a Comment

0 Comments