Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

TAKWIMU: UMRI WA WATOTO WALIO ATHIRIKA ZAIDI KUTUMIKISHWA

 

Kwa mujibu wa Takwimu za utumikishwaji zilizofanywa na Ofisi kuu ya Taifa ya Takwimu – NBS, kwa kushirikiana na Serikali pamoja na Shirika la kazi duniani – ILO ofisi ya Tanzania, jumla ya watoto 5,066,890 sawa na asilimia (36.1%) waliokua katika umri wa miaka 5 – 17, walitumikishwa wavulana wakiwa 2,662,098 na wasichana ni 2,404,792.

Aidha kundi la watoto wa umri wa kati ya miaka 14 – 17 ndio waliathirika zaidi ambapo jumla ya watoto 2,083,344 sawa na asilimia (62.0%) walitumikishwa katika yao wavulana wakiwa 1,092,323 na wasichana wakiwa 991,021.

UMRI

WATOTO WA KIUME

WATOTO WA KIKE

JUMLA

5–17

2,662,098 (36.8%)

2,404,792 (35.3%)

5,066,890 (36.1%)

5-11

1,008,074 (23.2%)

922,164    (21.9%)

1,930,238 (22.6%)

12-13

561,701    (47.3%)

491,607    (45.9%)

1,053,308 (46.6%)

14-17

1,092,323 (62.2%)

991,021    (61.7%)

2,083,344  (62.0%)

Wandishi na wachambuzi wa habari hii ni:-

John Kabambala  kabambalajohn@gmail.com

Hamad Rashi hamadirashidhd@gmail.com

 

 

 

 

Post a Comment

0 Comments