Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

TAKWIMU: WATOTO WALIOHUDHULIA NA WASIOHUDHULIA MASOMO 2014

 

Jumla ya watoto 10,233,365 walio na umri wa   miaka 5 – 17 walihudhulia masomo Shule ilhali watoto 4,433,098 hawakuhudhulia masomo katika kipindi cha Mwaka 2014, kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na ofisi kuu ya Taifa ya Takwimu – NBS, kwa kushirikiana na serikali pamoja na shirika la kazi duniani ofisi ya tanzania- ILO.

Jedwali hapa chini linaonesha mchanganuo wa mahudhulio ya wanafunzi na wale wasiohudhulia sambamba na Asilimia za wanafunzi waliohudhulia.

WALIOHUDHULIA SHULE

UMRI

WATOTO WA KIUME

WATOTO WA KIKE

JUMLA

5–17

5,205,256

5,028,109

10,233,365

5-11

3,242,471

3,174,382

6,416,852

12-13

993,047

919,727

1,912,775

14-17

969,738

934,000

1,903,737.

ASILIMIA KWA WALIOHUDHULIA

5–17

50.9%

49.1%

100.0%

5-11

31.7%

31.0%

62.7%

12-13

9.7%

9.0%

18.7%

14-17

9.5 %

9.1%

18.6%

WASIOHUDHULIA SHULE

5–17

2,348,190

2,084,908

4,433,098

5-11

1,216,775

1,107,869

2,324,644

12-13

226,889

178,907

405,795

14-17

904,526

798,133

1,702,659

Chanzo: Ripoti ya Takwiku za Elimu (Best 2020).

Waandishi wa Habari na wachambuzi wa Takwimu hizi ni: -

John Kabambala: kabambalajohn@gmail.com na

Hamad Rashid: hamadrashidhd@gmail.com

Post a Comment

0 Comments