Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

TAKWIMU:KIHONDA SEKONDARI INAONGOZA KUPEWA RUZUKU KUBWA KULIKO SHULE ZOTE MOROGORO

 

Kwa mujibu wa Ripoti ya utoaji Ruzuku kwa Shule za Sekondari nchini ya mwaka wa Fedha 2019/2020, iliotolea na Ofisi ya Rais tawala za mikoa na Serikali za mitaa- TAMISEMI inaonesha kiasi cha Ruzuku ziliotolewa na serikali kwenda Shule za Sekondari za Serikali nchini, ambapo kwa upande wa mkoa wa Morogoro Shule ya Sekondari Kihonda iliyopo Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro imeongoza kupewa Ruzuku kubwa zaidi.

Jedwali hapo chini linaonesha Shule zilizoongoza kupewa Ruzuku kubwa zaidi kwa kila Halmashauri ndani ya Mkoa wa Morogoro.

MKOA

HALMASHAURI

JINA LASHULE

KIASI CHA RUZUKU

 

 

 

 

MOROGORO

Morogoro Mc

Kihonda Sekondari

Tshs.22,120,471

Kilosa Dc

Kidodi Sekondari

Tshs.14,303,385

Kilombero Dc

Mang’ula Sekondari

Tshs.14,274,399

Ifakara Tc

Kibaoni Sekondari

Tshs.13,203,294

Mvomero Dc

Nassoro Seif Sekondari

Tshs.9,231,632

Gairo Dc

Chakwale Sekondari

Tshs.9,230,960

Morogoro Dc

Mikese Sekondari

Tshs.9,020,797

Malinyi Dc

Kipingo Sekondari

Tshs.8,364,170

 

Ulanga Dc

Nawenge Sekondari

Tshs.7,249,933

Chanzo: TAMISEMI

Waandishi wa Habari na wachambuzi wa Taakwimu hizi ni: -

John Kabambala: kabambalajohn@gmail.com

Hamad Rashid: hamadrashidhd@gmail.com

 

Post a Comment

0 Comments