Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

TAKWIMU:SEKONDARI ZILIZO PEWA RUZUKU KUBWA MKOA WA DODOMA

 

                            Picha:daily News.

Kwa mujibu wa ripoti ya utoaji Ruzuku kwa Shule za Sekondari nchini ya mwaka wa fedha 2019/2020, iliotolewa na Ofisi ya Rais tawala za mikoa na Serikali za mitaa -TAMISEMI inaonesha kiasi cha Ruzuku iliotolewa na Serikali kwenda Shule za Sekondari zote nchini za Serikali.

Mkoa wa Dodoma wenye Halmashauri nane ambapo Shule ya Dodoma Sekondari iliopo katika Halmashauri ya jiji imeongoza kwa kupewa Ruzuku kubwa zaidi kuliko Shule zingine zilizopo kwenye mkoa huo,ikiwa ni zaidi ya milioni 14 zilitengwa kwa kipindi cha mwaka mmoja.

Jedwali hapo hapo chini linaonesha hali halisi ya shule zilizopewa Ruzuku kubwa zaidi katika Mkoa wa Dodoma.

MKOA

HALMASHAURI

JINA LASHULE

KIASI CHA RUZUKU

 

 

 

DODOMA

Dodoma Cc

Dodoma Sekondari

Tshs.14,019466

Kongwa Dc

Kibaigwa Sekondari

Tshs.12,922,520

Mpwapwa Dc

Kibakwe Sekondari

Tshs.11,414,899

Chamwino Dc

Chamwino Sekondari

Tshs.10,541,766

Kondoa Tc

Ula Sekondari

Tshs.9,531,096

Kondoa Dc

Abed.A.Karume

Tshs.9,362,448

Chemba Dc

Soya Sekondari

Tshs.8,900,819

Bahi Dc

Mundemu Sekondari

Tshs.7,410,859

Chanzo: TAMISEMI

Waandishi wa Habari na wachambuzi wa Taakwimu hizi ni: -

John Kabambala: kabambalajohn@gmail.com

Hamad Rashid: hamadrashidhd@gmail.com

 

Post a Comment

0 Comments