Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

TAKWIMU:SHULE YA SEKONDARI IFUNDA INAONGOZA KUPEWA RUZUKU KUBWA MKOA WA IRINGA.

                    Picha:BOT

Kutoka katika Ripoti ya utoaji Ruzuku kwa Shule za Sekondari nchini ya Mwaka wa Fedha 2019/2020, iliotolea na Ofisi ya Rais tawala za mikoa na Serikali za mitaa -TAMISEMI ikionesha kiasi cha Ruzuku iliotolewa na serikali kwenda Shule za Sekondari zote nchini za Serikali.

Upande wa Mkoa wa Iringa, Shule ya Sekondari Ifunda kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Iringa inaongoza kupewa Ruzuku kubwa kuzidi Shule zote zilizopo Halmashauri za Mkoa wa Iringa wakati Shule ya Sekondari Ibumu ya        Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo ikipewa Ruzuku ndogo zaidi kwa Mwaka wa Fedha wa 2019/2020 kama jedwali linavyofafanua hapo chini.

 

MKOA.

 

 

HALMASHAURI

SHULE ILIYOPEWA RUZUKU KUBWA.

KIASI CHA FEDHA.

SHULE ILIYOPEWA RUZUKU NDOGO.

KIASI CHA FEDHA.

 

 

 

IRINGA

IRINGA DC

IFUNDA

14,248,048

KIMAIGA

2,885,073

IRINGA MC

TAGAMENDA

12,877,730

NDULI

4,602,295

KILOLO DC

ILULA

9,321,717

IBUMU

1,256,957

MAFINGA TC

JJ MUNGAI

11,970,075

MNYIGUMBA

3,398,609

 

MUFINDI DC

IGOWOLE

12,580,035

ILOGOMBE

2,140,295

Chanzo: TAMISEMI

Waandishi wa Habari na wachambuzi wa Takwimu hizi ni: -

John Kabambala: kabambalajohn@gmail.com  

Hamad Rashid: hamadrashidhd@gmail.com  

 

Post a Comment

0 Comments