Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

TAKWIMU:WAJAWAZITO WENYE ELIMU WALIO NA VVU WANAONGOZA KUHUDHURIA KLINIKI

 

K


                        Picha: muungwana.co.tz

Kutoka katika Ripoti ya matokeo ya Utafiti wa Virusi Vya UKIMWI ya 2016/2017 iliyofanywa na TACAIDS ikihusisha mikoa 31 iliyopo Tanzania Bara na Visiwani na kutolewa Mwezi December, 2018 utafiti ulihusisha Kaya 14,811, ambapo watu 36,087 waliokua na umri wa zaidi ya miaka 15 na wazee pamoja na watoto 10,452 wa umri wa miaka 0 – 14 walihusishwa.

Kwa mujibu wa ripoti hiyo ya Utafiti wa VVU, Katika jitihada za kubaini kupungua kwa maambukizi mapya ya VVU kutoka kwa Mama kwenda kwa Mtoto, Jedwali hapo chini linaonesha Mama wajawazito wenye Virusi vya UKIMWI wa umri wa miaka 15 – 49 waliokua wamejifungua miaka miatatu nyuma kabla ya utafiti kufanyika walikua wanahudhuria angalau mara moja katika kliniki ya utunzaji Ujauzito kabla ya kujifungua kwa kuangalia makundi ya Umri na Elimu zao kwa Kaya na watu waliohojiwa.

MAKUNDI YA WANAWAKE WAJAWAZITO.

MAMA WAJAWAZITO AMBAO ANGALAU WALIHUDHURIA KLINIKI MOJA YA UTUNZANI UJAUZITO KABLA YA KUJIFUNGUA.

ASILIMIA

ELIMU.

WASIOSOMA KABISA

1,192

98.0%

WALIOISHIA CHEKECHEA

36

89.7%

WALIOKUA SHULE YA MSINGI

3,832

99.0%

WALIOMALIZA MSINGI

40

100.0%

WALIOKUA SEKONDARI

904

99.7%

WALIOMALIZA SEKONDARI

102

100.0%

WALIOKUA ELIMU YA JUU

17

     *

WALIOMALIZA ELIMU YA JUU

11

     *

CHUO KIKUU.

43

100.0%

UMRI.

15-19

605

99.5%

20-24

1,720

99.3%

25-29

1,585

98.6%

30-34

1,102

98.4%

35-39

767

99.4%

40-44

340

98.8%

45-49

61

97.8%

Total 15-49

6,180

98.9%

Chanzo: Tacaids Tanzania.

Waandisi wa Habari na wachambuzi wa Takwimu hizi ni : -

John Kabambala: kabambalajohn@gmail.com

Hamad Rashid: hamadrashidhd@gmail.com

 

 

Post a Comment

0 Comments