Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

TAKWIMU:WANAFUNZI WA MOROGORO NATABORA WANAONGOZA KWA UTOVU WA NIDHAMU

 

                                                     Picha: bbc swahili.

Hadi sasa Mikoa ya Morogoro na Tabora inashikilia nafasi ya kwanza Nchini Tanzania kwa kuwa na idadi kubwa ya wanafunzi watukutu  kwenye  shule za sekondari, kwa mujibu wa ripoti ya Takwimu za Elimu iliyotolewa mwaka 2020 chini ya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa.

MIKOA.

WAVULANA.

WASICHANA.

JUMLA.

NAFASI KITAIFA.

MOROGORO

130

64

194

1

TABORA

128

66

194

2

MARA

127

34

161

3

KAGERA

73

64

137

4

DODOMA

83

41

124

5

LINDI

67

57

124

6

IRINGA

82

41

123

7

MWANZA

91

25

116

8

GEITA

87

16

103

9

KILIMANJARO

50

51

101

10

RUVUMA

66

33

99

11

MBEYA

60

33

93

12

ARUSHA

79

7

86

13

DAR ES SALAAM

58

16

74

14

PWANI

63

10

73

15

KIGOMA

56

15

71

16

MTWARA

38

31

69

17

SIMIYU

49

18

67

18

NJOMBE

45

16

61

19

SINGIDA

41

14

55

20

TANGA

20

25

45

21

MANYARA

27

8

35

22

SHINYANGA

25

10

35

23

KATAVI

19

6

25

24

SONGWE

17

2

19

25

RUKWA

11

1

12

26

JUMLA KUU

1,598

698

2,296

0000000000000000

ASILIMIA

1.6%

0.7%

2.3%

0000000000000000

Chanzo: Kitabu cha Takwimu za Elimu (BEST -2020).

Wachambuzi wa Takwimu hizi ni:-

John Kabambala kabambalajohn@gmail.com

Hamad Rashid hamadrashidhd@gmail.com

 

Post a Comment

0 Comments