Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

TAKWIMU: KILIMANJARO INAONGOZA WANAFUNZI WA KIKE KUAMUA WENYEWE WASIFELI MASOMO SHULE

 

Ripoti ya Shirika la Haki Elimu Tanzania ya Utafiti wa Elimu ya Msingi na Sekondari kwa wasichana  Mwaka 2019 inabainishauwepo wa wanafunzi wa kike waliobadiri fiklazao na kuamua kufauru masomo yao, kuwa  wengiwao wanafanya vizuri kimasomo kwasababu ya msukumo kutoka kwa wazazi wao, maamuzi yao binafsi, kutiwa moyo au kuhamishwa Shule, huku Mkoa wa Dodoma ukiongoza kwa wanafunzi kufuata sababu hizi zote.

Upande wa Mkoa wa Kilimanjaro wanafunzi wengi wakike  wameongoza kufuata maamuzi yao binafsi yanayowasaidia kujisimamia na kufikia malengo yao pasipo kusitisha masomo.

Jedwali hapo chini linaonesha sababu za wanafunzi kuamua kutofeli masomo yao Shule.

Sababu

Dar es Salaam

Kilimanjaro

Tabora

Dodoma

Lindi

Jumla

Shinikizo la Wazazi

40.0%

26.7%

40.6%

25.0%

46.3%

37.7%

Kutiwa moyo kutoka kwa walimu

2.9%

16.7%

20.3%

8.3%

17.1%

14.6%

Kutiwa moyo kutoka na wenzao

31.4%

3.3%

17.4%

33.3%

14.6%

19.1%

Maamuzi binafisi

25.7%

40.0%

21.7%

33.3%

22.0%

27.6%

Kuhamishwa shule

2.9%

3.3%

0.0%

0.0%

0.0%

0.5%

Jumla

100.0%

100.0%

100.0%

100.0%

100.0%

100.0%

 Chanzo: Haki Elimu Tanzania.

Waandishi wa Habari na wachambuzi wa Takwimu hizi ni: -

John Kabambala: kabambalajohn@gmail.com 

Hamad Rashid: hamadrashidhd@gmail.com


Post a Comment

0 Comments