Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

TAKWIMU: SEKONDARI YA SASYAKA ILIPEWA RUZUKU NDOGO ZAID MKOA WA MBEYA.

 

Kutoka katika Ripoti ya utoaji Ruzuku kwa Shule za Sekondari nchini ya Mwaka wa Fedha 2019/2020, iliotolea na Ofisi ya Rais tawala za mikoa na Serikali za mitaa -TAMISEMI ikionesha kiasi cha Ruzuku iliotolewa na serikali kwenda Shule za Sekondari zote nchini za Serikali.

Upande wa Mkao wa Mbeya, Shule ya Sekondari Lufilyo iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya inaongoza kupewa Ruzuku kubwa kuzidi Shule zote zilizopo Halmashauri za Mkoa wa Mbeya wakati Shule ya Sekondari Kikulyungu kutoka Halmashauri ya Sasyaka ikipewa Ruzuku ndogo zaidi kwa Mwaka wa Fedha wa 2019/2020 kama jedwali linavyofafanua hapo chini.

 

MKOA.

 

 

HALMASHAURI

SHULE ILIYOPEWA RUZUKU KUBWA.

KIASI CHA FEDHA.

SHULE ILIYOPEWA RUZUKU NDOGO.

KIASI CHA FEDHA.

 

 

 

MBEYA

BUSOKELO

LUFILYO

21,235,963

MPATA

1,243,791

CHUNYA DC

LUPA

10,842,765

IFUMBO

1,511,121

KYELA DC

KYELA

14,995,584

LUSUNGO

4,198,887

MBARALI

RUJEWA

17,137,239

IPWANI

816,574

 

MBEYA CC

LYOTO

18,407,015

STELLA FARM

1,949,705

 

MBEYA DC

USONGWE

20,476,926

SASYAKA

270,409

 

RUNGWE DC

KAYUKI

11,550,469

KALENGO

1,799,472

Chanzo: TAMISEMI
Waandishi wa Habari na wachambuzi wa Takwimu hizi ni: -
John Kabambala: kabambalajohn@gmail.com  
Hamad Rashid: hamadrashidhd@gmail.com  

 

 

 

Post a Comment

0 Comments